Mayai ya layers and broilers ya kutotoleshea

Mayai ya layers and broilers ya kutotoleshea

Second Lieutenant

Senior Member
Joined
Jan 13, 2014
Posts
143
Reaction score
26
Salama wadau,

Kwa yeyote amabaye anahitaji mayai ya kuku wa kisasa ya kutotoleshea tuwasiliane kwenye number 0717332652,Both layers and Broilers. Tray nauza TZS 15,000 Nagatioablexx.
 
Nachukua namba zako, unapatikana wapi na yanawezaje kunifikia Mimi wa Mwanza.

Hatchability yake Ni asilimia ngapi?.

Vipi kuhusu ile chanjo maalum ya layers unayo? Au unafaham inapatikana wapi?

Nikijibiwa nakuendea hewani tufanye biashara.
 
Back
Top Bottom