Habari zenu wakuu, nakodisha na kushona magauni mazuri ya harusi ya kisasa na ya heshima ,natengeneza maua mazuri sana kwa ajili ya harusi, natengeneza vibanio vizuri vya nywele na pia nastyle...
Aina: sanya
Bei:1,550,000
Ipo Dar Bei inapungua ;call 0767795847 Ina namba CZ..... na ipo kwenye hali nzuri hata km 500 haijafikisha. Kwa anaehitaji namtumia picha whatsapp
Inyasi Phone Clinic; Wanapenda kuwatangazia kuwa kwa msimu huu wa Christmass na new year wanatoa offer ya ku unlock simu zote zinazotumia line ya mtandao mmoja na kuzifungua (unlock) na kutumia...
Aina: sanya
Bei:1,550,000
Ipo Dar
Bei inapungua ;call 0767795847
Ina namba CZ..... na ipo kwenye hali nzuri hata km 500 haijafikisha.
Kwa anaehitaji namtumia picha whatsapp
Ndugu zangu, natafuta shule ya English Medium ya kulala (BWENI), yenye darasa la pili mpaka la saba.
★Shule iwe na malezi mazuri ( sio kudekeza dekeza).
★Shule iwe ya kanisa...
We are a Consulting Firm actively dealing with Corporate | Investment | Employment & Labour Laws and Relation | Immigration Status and Facilitation Consultancy.
We are aware of high fees charged...
vitu hivi vinauzwa;
1)Gari used aina ya mark ii grand GX 100 kwa milioni 5.5
2)Huawei media pad 7 youth ni tablet mpyaa kwa laki 3
3)techno D1 ni simu mpya kwa laki na 25
4)Nokia X3-02.5 ni...
Qsat q13 ina acount ya QIPTV YA MWAKA MMOJA, ACOUNT YA AVATACOM IMESHA ISHA MDA WAKE MPAKA KURENEW, REMOTE YAKE BAADH YA BATON ZINASUMBUA MY NO. 0769038065
Shamba la mananasi na miembe linauzwa Fukayosi, Bagamoyo. Lina ukubwa wa EKari 2. Bei ni Milioni 8 kwa kila Ekari.
Una nunua shamba na kuvuna mananasi na maembe hapo hapo yapo tayari kwa mavuno...