Bata wanauzwa

Bata wanauzwa

bahati30

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Posts
1,625
Reaction score
883
Bata wanapatikana kwa shilingi 10,000-20,000. Viwango hivyo vinaendana na ukubwa wa bata. Atakayehitaji anitafute kwa namba 0753249862. Karibuni Sana
 

Attachments

  • C360_2014-11-17-16-22-15-816.jpg
    C360_2014-11-17-16-22-15-816.jpg
    552.8 KB · Views: 194
  • C360_2014-11-17-16-22-35-128.jpg
    C360_2014-11-17-16-22-35-128.jpg
    514.9 KB · Views: 223
  • C360_2014-11-17-16-22-49-865.jpg
    C360_2014-11-17-16-22-49-865.jpg
    532.5 KB · Views: 199
  • C360_2014-11-17-16-23-07-643.jpg
    C360_2014-11-17-16-23-07-643.jpg
    515.4 KB · Views: 214
kwa kweli ufugaji wabata ni mrahisi kweli, mi nilinunua bata dume na jike mwezi wa 8 akaanza kutaga nikampa mayai 20 ameangua yote mwezi huu wa kumi leo nina bata 22 ndani ya miezi 3. Nawashauri anaetaka kufuga anunue hawana garama kama kuku
 
Dsm kubwa mkuu twambie tuone urahisi kabla ya kukupigia
 
Back
Top Bottom