Shule english medium inatafutwa

Shule english medium inatafutwa

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Ndugu zangu, natafuta shule ya English Medium ya kulala (BWENI), yenye darasa la pili mpaka la saba.

★Shule iwe na malezi mazuri ( sio kudekeza dekeza).

★Shule iwe ya kanisa katoliki.

★Shule iwe katika mikoa ya KILIMANJARO,TANGA,ARUSHA,PWANI au MOROGORO.

ADA
--
Isizidi 1.2M kwa mwaka.

NATANGULIZA SHUKRANI.

Wenye kuzijua anisaidie.
 
Kwanini unatafuta shule ya English medium? Hamna shule za Swahili medium nzuri?

Usimtupe mtot katika shule za bweni; mwalimu hawezi kulelea mtoto wako
 
Kwanini unatafuta shule ya English medium? Hamna shule za Swahili medium nzuri?

Usimtupe mtot katika shule za bweni; mwalimu hawezi kulelea mtoto wako

Ndugu haya ni maamuzi yangu binafsi.....

Ninachohitaji ni kutajiwa shule tu.sio maswala ya swahili medium au boarding school.
 
Mpeleke Hazina International boarding ada ni Mln 5 per year. Ipo Magomeni Dsm....
 
Ritaliza ipo Himo (mchanganyiko), Mount Evarist ipo mbweni(mchanganyiko), Hope & joy ipo Bunju (mchanganyiko) na St. Catherine ipo Lushoto(wasichana tu).
 
Back
Top Bottom