Nauza vifuatavyo

Nauza vifuatavyo

BMB5

Senior Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
196
Reaction score
8
vitu hivi vinauzwa;
1)Gari used aina ya mark ii grand GX 100 kwa milioni 5.5
2)Huawei media pad 7 youth ni tablet mpyaa kwa laki 3
3)techno D1 ni simu mpya kwa laki na 25
4)Nokia X3-02.5 ni used na ina tatizo kwamba touch yake imekuwa nzito kidogo baada ya simu kudondoka hiyo utanipa ofa mwenyewe
5) HP slate 2 tablet-pc ni used hii haina adapter yake nayo utanipa ofa

kwa yeyote anayehitaji details,picha na hata maongezi kwa ajili ya kununua chochote hapo juu nicheki whatsapp kwa namba 0718 097972 napatikana dar es salaam shukrani
 
picha hapa zimezingua njoo whatsapp mkuu kwa namba hzo apo juu
 
Aisee we noma unauza usafiri na unakata mawasiliano.
Bora,maana hapo Madem hakuna tena lifti wala kupiga sim.

Mkuu hembu tutupie picha,hasa hiyo mark 2,halafu tuambie imekula Km ngapi na ni 4 au 6 Cylinders?
niuzie spices we mzenji
 
poa mkuu,mie huyo whatsapp hana sinae.
Watakuja wadai,ila jua public picha ndio zinauza,sio wengine wa Zantel ukatuambia wassap ni issue

hahaaaa usijali mkuu public pics zimezingua ndo mana
 
Nokia nayo ishauzika wadau bado tablet hzo na techno changamkieni
 
Back
Top Bottom