Mwenye namba za madalali Mtoni Kijichi

Mwenye namba za madalali Mtoni Kijichi

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Habari wadau, tafadhali mwenye namba za madalali mtoni kijichi naomba anipatie, nataka kujua details za viwanja au nyumba maeneo hayo.
 
Habari wadau, tafadhali mwenye namba za madalali mtoni kijichi naomba anipatie, nataka kujua details za viwanja au nyumba maeneo hayo.

kuna nyumba inauzwa mkuu, iko mbele ya neluka sec mtaa wa masangula. nichek watsapp kwa pic and more details 0713338342
 
Aksante nakucheck kwenye PM yako sasa
 
Back
Top Bottom