Nyumba inauzwa kwa Tsh 15ml

Nyumba inauzwa kwa Tsh 15ml

ISENUKA

Member
Joined
May 25, 2014
Posts
81
Reaction score
10
Ipo kibaha picha ya ndege pwani,vyumba 7,stoo 1, choo na bafu vinajitegemea,na inawapangaji, nyumba haina mgogoro,anaye uza ni mmiliki mwenyewe,bei ni 15ml,
mawasiliano
0686958013
0755143486
 
Nahitaji nyumba sihitaji wapangaji, utaondoka nao
 
Ipo kibaha picha ya ndege pwani,vyumba 7,stoo 1, choo na bafu vinajitegemea,na inawapangaji, nyumba haina mgogoro,anaye uza ni mmiliki mwenyewe,bei ni 15ml,
mawasiliano
0686958013
0755143486

Picha tuwekee nikiridhika nakuja kuichukua hiyo. Weka picha mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom