waukweli100
Senior Member
- Aug 18, 2014
- 193
- 24
kwa wale wafanyabiashara wanaochukua mizigo nje china,canada,korea,bidhaa kama nguo aina zote,wax,bell za nguo za watoto,bel za viatu,na bidhaa zingine,kama unahitaji kuongeza matawi ya biashara nchini mozambique,tuwasiane mi ni mzoefu nchini mozambique na nimeangalia watanzania wanavopiga hela mozambique,mi tatizo ni mtaji ila kama hutojali kukafanya kazi wote namba yangu ni 0718375766