Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

habari zenu wakuu,nina iphone 4s sasa screen imekufa haifanyi kazi kabisa.sasa kama kuna mtu anayo iphone mbovu naomba aniuzie display. kama ipo niPM tuongee biashara au nibeep au nipigie...
0 Reactions
4 Replies
827 Views
Lina ukubwa wa ekari 4 zilizopimwa kwa mita na siyo kwa miguu. Liko Makurunge umbali wa kilometa 8 kutoka bagamoyo mjini kuelekea Msata kupitia Barabara mpya ya lami. Linafaa kwa kilimo, ufugaji...
0 Reactions
0 Replies
928 Views
Viwanja vinapatikana katika maeneo yafuatayo: Bunju, Madale,Goba, Salasala,Kigamboni,Kibamba,Charambe-Temeke na Chanika Na Mashamba Mkuranga, Kimanzichana,Bagamoyo na Mlandizi. Wasiliana nasi kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta toyota cresta GX100 AU toyota mark 2 GX110 BEAMS 2000 ENGINE CC1980' iwe katika hali nzuri. Sichagui namba iwe A,B,C,D kitu muhimu IWE katika hali nzuri. Mwenye nayo na anauza anipe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Call 0656 43 66 62 for more info.thanks
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Steamer 180,000,Hand drayer 50,000,beseni la kuoshea nywele 40,000 na kioo 70,000 ni cha alminium,piga 0718096900 vpo mtoni kijichi dar es salaam.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Price 200,000 Pesa za kitanzania Condition: Ina clack kwenye kava la nyuma (angalia picha) pia mic mbovu Feautures: 16Gb, Wifi,3G inatumia mini-sim card iko unlocke line zote haina icloud account.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Bei 1.3 mil. Maelewano yapo baada ya mteja kuiona. Piga 0714 045 080. Karibu.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Piga 0656 43 66 62 au tuna msg ya kawaida Au wasap elezea untaka gari ya aina gan na offer yako Kma uko na uhitaji huo fanya hivyo sasa wala usichelewe 0656 43 66 62 karbun sana
0 Reactions
0 Replies
909 Views
toyo guta nauza sh 2800000 contact 0757557201
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zetu, Kama mtu yoyote ana vw( golf, Passat.....) au audi (a3,a4,.....) yenye engine ya 1.8T ( 1997~~2004), iwe Ina matizo (tutapatana bei) au nzima ani pm. Thank you.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
msaada anaejua jinsi ya kupata kuku wazalishaji, nataka kuanzisha mradi wa kuangua vifaranga niuze, vifaranga ninaohitaji kuuza ni chotara,
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wadau nisaidie kupata passport ya haraka tafadhali. anahusika anitumie namba ' matapeli kaeni mbali "mjini hapa
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ina Vyumba viwili, jiko, bafu, stoo, sebule kwa Tshs. 350,000/- kwa mwezi (ambayo inajumlisha na umeme). Iko katika hali nzuri sana, bado mpya. Sakafu ndani ni ya vigae, na uwanja wa nje...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Mimi ni fundi pikipiki ninaomba kama kunam2 ambae anaweza kujoin na mimi mahali,yeye afungue duka la kuuza sparepart na mimi nitengeneze... Kijiwe kipo mahali nisha chunguza na kupata.,nitafurahi...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
1.bodi la bajaj two stroke 2. internal vga cable ya laptop hp probook 3. anaehitaji gari aina ya gaia na toyota hilux 4.pikipiki iliyopo barabarani ya bei rahisi sana mawasiliano 0713 77 47...
0 Reactions
0 Replies
962 Views
Helli ya mwaka mpya wandugu,ninashida na simu ya kawaida yaani ya button isiwe touch wala smart phone yenye wifi mpya isiwe zaidi ya laki 2 .nimezunguka maduka kibao napata smartphone na za...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Make: Suzuki Model: Swift Model Number: GH HT51S Body Type: Station Wagon Colour: Pearl Class: Light Passenger vehicle (Less than 12 persons) Year of Manufacture: 2000 Chasis No...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Suzuki Carry iko mwanza,maeneo ya buhongwa town ,bei 5.8M,maongezi yapo...mwenyewe nayo ni aunt yangu anazo mbili na kijana wa kuitumia hii moja amerudi kwao so anaiuza ili isikae tu.. kila kitu...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, mimi ni msichana mtafutaji, nauza vitu vya Silva kama cheni, hereni, pete, vito na kadhalika. Niko Dar es Salam, ukihitaji naweza kukuletea ulipo kwa walio Dar. Unaweza...
1 Reactions
9 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…