Ninatoa huduma za kuhakiki mashamba na viwanja kwa kutumia GPS (Global Position System) huduma hii itakuepushia migogoro na serikali au taasisi, kwakuwa kabla hujanunua eneo utachukuwa coordinates...
Je umechoka kununua Sabuni mbalimbali kwa ajili ya matumizi ya nyumbani, pata A multipurpose cleaner kwa ajili ya kufulia,kuoshea vyombo,kudekia na usafi wote wa nyumbani, kwa mawasiliano piga...
Habari,
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha
Kodi sh. 250,000 kwa mwezi (inalipwa kwa mwaka)
Vyumba viwili na sebule, jiko na public toilet (hakuna master bedroom)
Nyumba yote imewekwa tiles...
Shamba hekari mbili Mpiji kidimu bei sh 9,000,000 kwa hekari mbili. Pia ninayo GPS ambayo nitakuchukulia coordinates reddings ukahakikishe wizarani uhalali wa eneo. Piga simu 0715 - 185 333.
We do provide SECURITY SERVICES for Homes and corporate, Godowns, Shopping Malls as follows, our services include;
* Residential, Corporate Guarding Service
* Dogs Training & Guards Service
*...
Guys nauza original s3 mini(white) ina scratches chache tu huko pemben but works perfectly shusha ofa yako + number yako ya simu (Nina shida ya pesa fasta)
Nauza PS2, ziko 3. (zimetumika)
Zote zimechipiwa
Zote zina Flash ya GB 8 (zenye game mbili kila moja)
Zote zina Memory Card
Zote zina padi 2
bei ni 150k kwa kila moja.
0769160343 call/whatsapp
Kuna wachina wananunua yai moja kwa shilingi 12,000/- na wanahitaji mzigo mkubwa kwa ajili ya shughuli maalum huko kwao.
Je, naweza kuyapata wapi? Mwenye nayo asogee PM tuongee biashara.
Thanks...
Hbari wana Jf Natarajia kurubi Dar, Mazingira nitakayopata nyumba Nahic maji ni adimu sana nilitaka kujua Bei ya Tenki la maji la lita 500 au 1000 (Polytank)
Au kama mtu analo Used Anipe Bei...
habari wanajf
leo ntaongelea siri ambayo waafrika wengi hawijui kuhusu nguvu iliyomo kwenye logo,nguvu hiyo inaweza kufanya kampuni yako ifanye vizuri kitaifa na kimataifa bila hata kutumia hirizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.