Habari,
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha
Kodi sh. 250,000 kwa mwezi (inalipwa kwa mwaka)
Vyumba viwili na sebule, jiko na public toilet (hakuna master bedroom)
Nyumba yote imewekwa tiles.
Nyumba yote ina uzio (fensed)
Mtaa wa kwanza kutoka barabarani.
Mwenye kuhitaji anitumie Private message (PM)