Hii tv ni used tu imekuwa haitumi na mtu yoyote .inauzwa bei poa
ABOUT ME!
For More Information Please contact :
Call: +255782839988
Whatsapp: +255782839988
Dar Es Salaam Tanzania
Service...
Nyumba inauzwa viwege gongo la mboto, ina master bedroom ,2 living rooms ,stitting room,dinning room,kitchen,store na 2 washing room.kwa maelekezo zaidi 0713 95 92 90 au o685 65 55 35
-TUNAFANYA REPAIR ZA LAPTOP NA DESKTOP ZENYE MATATIZO MBALIMBALI NA KURUDIA HALI YAKE YA KAWAIDA.
-MOTHERBOARD REPAIR-tunafanya repair ya chip mbalimbali zilizokufa kwenye motherboard...
Hallow wana jf natumai mpo sawa mimi ninajishughulisha na biashara mbalimbali haswa hardware kama cement,mbao,mabati,misumali kwa kifufi biashara za mambo ya ujenzi pia vyote hivyo vnapatikana kwa...
natafuta mbao kwa ajili ya kuezekea nyumba yangu 2 *2 na 4*4 pamoja na mabati ya rangi kama ya vigae ambae ana bidhaa original atume bei fasta maana niko likizo kwa ajili ya kazi hii
This car has arrived 4days till nw from japan
ABOUT ME!
For More Information Please contact :
Call: +255782839988
Whatsapp: +255782839988
Dar Es Salaam Tanzania
Service All The Time...
Wapendwa bado natafuta chumba maeneo ya ubungo external na river side.
Chumba kimoja self chenye tiles kiwe ndani ya geti. Pia kisiwe mbali na kituo cha daladala
Habari
1. Sofa hizi nimezitumia mimi mwenyewe
2. Ni set ya watu 3 (3 seaters), watu 2 (2 seaters) na mtu 1 (one seater)
3. Sofa zipo sinza, Dar es Salaam.
4. bei ni sh. 500,000/-
Mwenye kuhitaji...
Wana Bodi,
Huawei P7 used kwa miezi miwili tu inauzwa kwa sh 550,000 tu.
Simu ina box lake na unapata accessories zake zote.
Haina mchubuko hata kidogo na haina tatizo lolote la kiufundi
Simu...
For sale samsung tab like new used for one month comes with box and receipts also going for 500k.
ABOUT ME!
For More Information Please contact :
Call: +255782839988
Whatsapp: +255782839988...
Habarini Mabibi na Mabwana, karibu kwenye huduma ya kumuandaa kuku kwa ajili ya kitoweo.
Tunafanya yafuatayo:
1. Kuchinja kuku (Kienyeji na Kisasa) na Bata
2. Kunyonyoa kuku kwa kutumia mashine...
ni dryer 2, kila maja tsh 120000, sink 1, sh 35000, kioo 23 kwa 23 kwa tsh 20000. Sio kwamba mimi ni dalali, ila kuna mtu ameniomba nimtangazie biashara, ikiwa unahitaji ni PM ili nikupe namba...
HABARI ZA SIKU NYINGI WANAJUKWAA
HERI YA MWAKA MPYA
Kuna Fremu Nzuri huwa naziona pale kwenye lile jengola YMCA na muda mrefu zimefungwa hivi zinamilikiwa na nani
na hivi unaweza pata zile...
Nauza vitu vya Ndani narudi Dar kikazi kama utahitaji unaweza kufika ukaviona
Niko mbeya mjini Maeneo ya Iromba
Kuna Sofa,Meza ya kioo, Kabati ya vyombo ya Kichina.
Pia Nyumba kwa Mhitaji...
Wadau,kwa yeyote mwenye uhitaji wa bomba za chuma (galvanised steel) medium class zenye urefu wa mita 3 kila mmoja na kipenyo(diameter) cha 100mm tuwasiliane.kuna piece kadhaa zimebaki baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.