Huduma ya Kuhakiki eneo kwa kutumia GPS

Huduma ya Kuhakiki eneo kwa kutumia GPS

Kadanga

Senior Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
100
Reaction score
58
Ninatoa huduma za kuhakiki mashamba na viwanja kwa kutumia GPS (Global Position System) huduma hii itakuepushia migogoro na serikali au taasisi, kwakuwa kabla hujanunua eneo utachukuwa coordinates nakuzipeleka Wizarani kupata uhakika wa eneo
 
CC: Steven Robert Masaku

Ninatoa huduma za kuhakiki mashamba na viwanja kwa kutumia GPS (Global Position System) huduma hii itakuepushia migogoro na serikali au taasisi, kwakuwa kabla hujanunua eneo utachukuwa coordinates nakuzipeleka Wizarani kupata uhakika wa eneo[/QU

huduma yako ni kusoma coordinates tu au kuna zaidi?
 
Gari aina ya Noah yenye uwezo wakupakia abiria 7 bei sh 40,000 kwa siku dereva juu yangu mafuta juu yako.
 
kwa nn usitaje gharama zako kaka ili watu wasiangaike kukutafuta??Please taja gharama ili watu wasiangaike kutumia credit zao.

Tafadhal kwa hlo
 
Back
Top Bottom