laki na 10 unakula? kesho tukutane sinza, nikupe mpunga wako? na mimi nina shida ya simu fasta yani. sema fasta basi nijue kabla sijaipeleka kwa muhudumu kuzungusha.
laki una kula!
110k kwa s3 mini????hii sio clone ni Original......leta 180k nkuachie
180k kwa upande wangu, mission failed.
110k kwa s3 mini????hii sio clone ni Original......leta 180k nkuachie
maana yake laki na themanini au?