Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

House for sale on Mbezi Beach Dar es Salaam for only 800,000 USD. One storey 2000 sqm building on the beach, 5 bedrooms, 2 bathrooms, air condition, borehole and servant quarter. For more...
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Mwenye eneo la kiwanja kilomo upande wa kushoto as u go bagamogo anijuze budget 2.5-3.0million.0763479113
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nipo Zanzibar nahtaji gari ya kukodi. Nicheki 0714 045080.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza mlango Wa aluminium na kabati lake kwa ajiri ya duka 1.mlango 350,000 2.kabati 150,000 Na vitu vingine tunaongea bei ikiwemo hadi hanger za ukutan za nguo Kama upo serious nichek 0716385824
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Viwanja hivi vimepimwa na havipo kwenye mradi wa Kigamboni, ramani ya upimaji ipo na ofa ipo katika hatua za mwisho kutoka. Kimoja kina ukubwa wa sqm 2764 na kingine kina ukubwa wa sqm 1033...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
hi guys, i am looking for cccam account for my Q sat receiver
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza Samsung note3 internal 32 gb.price 600,000 nichek 0716385824
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Kilipo kiwanja: Kigamboni Mwasonga Kipo pembeni ya barabara inayotokea Kwenye daraja jipya Kupitia Dar es salaam zoo. Umbali wa km 30 kutoka daraja jipya Document: kina ofa Ukubwa: Mita za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu natafuta kiwanja cha jirani na barabara kwa ajili ya kujenga ka frem ka biashara: Eneo: Kigamboni barabara ya kutoka ferry kupitia kibada paka kutokea Kongowe Ukubwa: Kuanzia mita 400 za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nipen dau wadau simu hiyo naiuza
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina shamba langu la strawberry na mbogamboga zingine Morogoro. Kama upo tayari tuwasiliane nikuuzie Strawberries kwa jumla nawe upate faida ya kuendeleza mipango yako ya maisha. NB: Kwa sasa...
1 Reactions
12 Replies
8K Views
REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2012 2-13 April 2012 in Ifakara, Tanzania This course is open to clinical officers (CO’s) in Tanzania and elsewhere who have been in public/private...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Aina shida yoyote inapiga kazi kama kawaida ipo na cd yake original, atakaye hitaji tuwasiliane 0716628257 au tu badilishane na simu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
16 gb wifi+3g. nicheki kwa 0652930503 if interested. colour ni black. price- 450,000. karibuni. picha zinazingua ku upload.
0 Reactions
1 Replies
776 Views
View Property
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Waungwana kwa yeyote anaefaham wanapokopesha magari anielekeze,nahitaji kukopa gari ndogo ya cc 900au1000,mfano iwe passo,hits,Nissan cube,fun cargo au porte,!Nina biashara zangu zinahitaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji vifaa vya gym kwa ajil ya kuanzisha gym centre,kama kuna anayejua vinapopatikana kwa bei nafuu naomba kujulisha.Unaweza kunipa hata bei ya kila kifaa kama utakuwa nayo au contact za...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Game playstation 2 inauzwa ikiwa na padi orignal,pamoja na flash yenye michezo tayari ya gb 8,pamoja na memory card yake,game imeshakuwa chipped tayari na inasoma flash Bei ni sawa na bure tsh...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Title inajieleza....simu ni nzima na haina scratch wala tatizo lolote. Kwa picha plz nitafute kwa 0763969066 Bei ni 600,000 maelewano yapo
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Nauza iPhone 5s nyeupe kwa bei ya 700,00/=. Iko katika hali nzuri kabisa, well maintained. Contact; 0683118676 or 0712198128
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom