Nahitaji gari ndogo ya kukopa

Nahitaji gari ndogo ya kukopa

hustler by nature

New Member
Joined
Feb 16, 2015
Posts
1
Reaction score
0
Waungwana kwa yeyote anaefaham wanapokopesha magari anielekeze,nahitaji kukopa gari ndogo ya cc 900au1000,mfano iwe passo,hits,Nissan cube,fun cargo au porte,!Nina biashara zangu zinahitaji mzunguko mrefu kwa siku hi yo Nikiwa na gar aina hiyo Nina imani itanirahisishia kupunguza gharama na faida itaongezeka,hivyo nitamudu kulipa hiyo gari kwa MFA nitakaokua nimekubaliana na mkopeshaji,!makubaliano name uandikishwaji wa masharti utazingatiwa kabla ya makabidhiano ya gari kwa kufuata utaratibu unaoeleweka!nisaidieni jamani maisha haya tunahangaikia watoto wapate mahitaji muhimu!naomba maelekezo kwa lugha nzuri,vinginevyo mtaniongezea maumivu.asanteni maswasiliano yangu ni 0759 258748.
 
Nakutakia kila la kheri! Nakuombea ufanikiwe, ili baada ya muda uweze kuwa chanzo cha ajira kwa vijana wanaohangaika na kulalamika kila siku kwa kukosa ajira.
 
Waungwana kwa yeyote anaefaham wanapokopesha magari anielekeze,nahitaji kukopa gari ndogo ya cc 900au1000,mfano iwe passo,hits,Nissan cube,fun cargo au porte,!Nina biashara zangu zinahitaji mzunguko mrefu kwa siku hi yo Nikiwa na gar aina hiyo Nina imani itanirahisishia kupunguza gharama na faida itaongezeka,hivyo nitamudu kulipa hiyo gari kwa MFA nitakaokua nimekubaliana na mkopeshaji,!makubaliano name uandikishwaji wa masharti utazingatiwa kabla ya makabidhiano ya gari kwa kufuata utaratibu unaoeleweka!nisaidieni jamani maisha haya tunahangaikia watoto wapate mahitaji muhimu!naomba maelekezo kwa lugha nzuri,vinginevyo mtaniongezea maumivu.asanteni maswasiliano yangu ni 0759 258748.

Zungukia show room bila shaka utapata tu ndugu yangu
 
Back
Top Bottom