mwangambaku
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 109
- 22
Viwanja hivi vimepimwa na havipo kwenye mradi wa Kigamboni, ramani ya upimaji ipo na ofa ipo katika hatua za mwisho kutoka.
Kimoja kina ukubwa wa sqm 2764 na kingine kina ukubwa wa sqm 1033,
Vipo katika eneo la cheka, ni mwendo wa 25km kutoka Feri ya Magogoni , ni karibu na apartment za Akbar , ni mwendo wa dakika tano kutoka barabara kuu mpaka eneo viwanja vilipo.
Bei ni T.sh 5,500/= kwa sqm 1.
Mimi ni dalali wa hivi viwanja .
0755 099 291, au 0719 835 315
Karibuni