Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Waungwana kwa yeyote anaefaham wanapokopesha magari anielekeze,nahitaji kukopa gari ndogo ya cc 900au1000,mfano iwe passo,hits,Nissan cube,fun cargo au porte,!Nina biashara zangu zinahitaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji vifaa vya gym kwa ajil ya kuanzisha gym centre,kama kuna anayejua vinapopatikana kwa bei nafuu naomba kujulisha.Unaweza kunipa hata bei ya kila kifaa kama utakuwa nayo au contact za...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Game playstation 2 inauzwa ikiwa na padi orignal,pamoja na flash yenye michezo tayari ya gb 8,pamoja na memory card yake,game imeshakuwa chipped tayari na inasoma flash Bei ni sawa na bure tsh...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Title inajieleza....simu ni nzima na haina scratch wala tatizo lolote. Kwa picha plz nitafute kwa 0763969066 Bei ni 600,000 maelewano yapo
0 Reactions
0 Replies
806 Views
Nauza iPhone 5s nyeupe kwa bei ya 700,00/=. Iko katika hali nzuri kabisa, well maintained. Contact; 0683118676 or 0712198128
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nauza gari TOYOTA Chaser (GX 100) ina engine ya 1G- FE wajuzi wa magari watakuwa wanaifahamu, bado iko poa sana, namba ni ADB, rangi Silver, bei ni 4 Mil (negotiable) ipo hapa hapa Dar...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Kwa wahitaji wa fundi bomba mzuri anapatikana Chuo cha Ufundi cha Magereza Ruanda Mbeya. Sanitary installation, Solar Heater, Drainange system na vingine vyote anafanya. Ni Mwl wa bomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza Samsung Galaxy s5 Imetumika mwezi 1 Bei 650,000tshs Condition good as new
0 Reactions
2 Replies
1K Views
simu tajwa hapo juu. inauzwa.. whatsapp mi 0767879784. for pics.
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Xperia Z1 second hand, with only 3 weeks of usage for sale price 580,000/=,negotiations allowed,Item Location in Dar es Salaam. Contact: 0712 780006.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Contact m 0656 43 66 62 Iko katk hali nzur sana
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Zipo simu ambazo zina range kati ya 200000, mpa laki 500000 kamera ipo moja hiyo ni dola 650 ipad nayo ni moja inauzwa laki 670000. Ni bidhaaa murua kabisa na original kutoka USA. Napia kama...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
32Gb comes phone for 600k only ABOUT ME! For More Information Please contact : •Call: +255782839988 •Whatsapp: +255782839988 •Dar Es Salaam Tanzania •Service All The Time -24hours •And If You...
0 Reactions
4 Replies
958 Views
Kama unasumbuliwa na chunusi zinazotokana na sababu yoyote, na hata ziwe nyingi au serious kiasi gani karibu sana. Tunatibu kwa kutumia ASSA formula ® na chunusi, vipele na mabaka yote ya kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
bei ni 160000, ina pad 2 na cd, nzima inafanya kazi .0714890018
0 Reactions
3 Replies
1K Views
INA VYUMBA VIWILI (2) VYA KULALA, SEBULE KUBWA, CHOO CHA NDANI NA JIKO ENEO ILIPO: KURASINI KOTA ZA BANDARI JIRANI NA OFISI YA UHAMIAJI, CHUO CHA UHASIBU (TIA), CHUO CHA DIPLOMASIA NA TUMAINI...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Please kama inawezekana nipm au niachie namba yako hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naona tangazo tuuuu,, la simu TECNO PHANTOM Z.....lakini bei hawasemi,. Ni Tsh.ngapi jamani kwa wanaojua?
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Mayai ya kwale yanapatikana kwa shilingi 16,000-18,000 kwa trei. Atakayehitaji anitafute kwa namba 0753249862. Karibuni sana.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kiko kwenye hali nzur na kina barabara kwa mwenye gar,so mwenye kuitaj afike kawe dar ajionee mwenyew call 0719474102!bei kinaanzia mil 75 pungufu utaongea mwenyewe!!!.
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Back
Top Bottom