Kibada ni mji mdogo ulioko Kigamboni kilometer 12 kutoka katikati ya jiji (Dar es salaam) kupitia kivuko cha ferry...Nauza kiwanja chenye hati ya makazi kina ukubwa wa square meter 600 kwa bei...
Wadau habari!
Nafanya kazi Airport na pia nataka kusoma maeneo haya haya (Evening Classes), hivyo ningependa kuhamia maeneo ya huku au karibu na huku kwani sasa nakaa mbali sana.
Naombeni...
House for sale on Mbezi Beach Dar es Salaam for only 800,000 USD. One storey 2000 sqm building on the beach, 5 bedrooms, 2 bathrooms, air condition, borehole and servant quarter.
For more...
Nauza mlango Wa aluminium na kabati lake kwa ajiri ya duka
1.mlango 350,000
2.kabati 150,000
Na vitu vingine tunaongea bei ikiwemo hadi hanger za ukutan za nguo
Kama upo serious nichek 0716385824
Viwanja hivi vimepimwa na havipo kwenye mradi wa Kigamboni, ramani ya upimaji ipo na ofa ipo katika hatua za mwisho kutoka.
Kimoja kina ukubwa wa sqm 2764 na kingine kina ukubwa wa sqm 1033...
Kilipo kiwanja: Kigamboni Mwasonga
Kipo pembeni ya barabara inayotokea Kwenye daraja jipya Kupitia Dar es salaam zoo.
Umbali wa km 30 kutoka daraja jipya
Document: kina ofa
Ukubwa: Mita za...
Wakuu natafuta kiwanja cha jirani na barabara kwa ajili ya kujenga ka frem ka biashara:
Eneo: Kigamboni barabara ya kutoka ferry kupitia kibada paka kutokea Kongowe
Ukubwa: Kuanzia mita 400 za...
Nina shamba langu la strawberry na mbogamboga zingine Morogoro. Kama upo tayari tuwasiliane nikuuzie Strawberries kwa jumla nawe upate faida ya kuendeleza mipango yako ya maisha.
NB: Kwa sasa...
REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2012
2-13 April 2012 in Ifakara, Tanzania This course is open to clinical officers (COs) in Tanzania and elsewhere who have been in public/private...
Waungwana kwa yeyote anaefaham wanapokopesha magari anielekeze,nahitaji kukopa gari ndogo ya cc 900au1000,mfano iwe passo,hits,Nissan cube,fun cargo au porte,!Nina biashara zangu zinahitaji...
Wakuu nahitaji vifaa vya gym kwa ajil ya kuanzisha gym centre,kama kuna anayejua vinapopatikana kwa bei nafuu naomba kujulisha.Unaweza kunipa hata bei ya kila kifaa kama utakuwa nayo au contact za...