Kibada ni mji mdogo ulioko Kigamboni kilometer 12 kutoka katikati ya jiji (Dar es salaam) kupitia kivuko cha ferry...Nauza kiwanja chenye hati ya makazi kina ukubwa wa square meter 600 kwa bei nzuri kabisa (33,000,000) +255714908121
- kibada block gani mkuu.
- Umbali gani kutoka barabara ya lami.
- Pana umeme
- Kiwanja chako au wewe dalali?
- Kinahai ya miaka mngapi?
-Square meter 600 kwa 33m? (Nakushauri ucheki pia na mama lakwatare)
- kibada block gani mkuu.
- Umbali gani kutoka barabara ya lami.
- Pana umeme
- Kiwanja chako au wewe dalali?
- Kinahai ya miaka mngapi?
-Square meter 600 kwa 33m? (Nakushauri ucheki pia na mama lakwatare)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.