Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Wadau habari!
Nafanya kazi Airport na pia nataka kusoma maeneo haya haya (Evening Classes), hivyo ningependa kuhamia maeneo ya huku au karibu na huku kwani sasa nakaa mbali sana.
Naombeni anayejua / atakayejua chumba kimoja (self) au hata viwili maeneo haya au karibu na haya anijulishe.
Thanks.
NB: Ni bachelor, na bei ziwe za kawaida from 80,000 to 150,000