Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Bei poa ina miez michache toka itumiwe hapa nchin,bei 35m maongez yapo ya kutosha kwa maelzo zaid nitafute kwa hii no 0768359292 na picha chin hapo
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ipo safi ina pad 2 japo moja imeharibka kwa hiyo pad moja inatumika, inatumia cd na flash,ina memory card 1 na cd 3 ! bei ni 110,000 tu.0764875468 kwa anayetaka
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Play Station 2 slim nyeusi inauzwa ikiwa na Padi 2, Memory Card, Flash ya 8gb yenye game 3. Inacheza game za flash na CD pia. Iko katika hali nzuri. Bei ni Laki Moja na Elfu Ishirini tuu...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeitumia kidogo tu na sasa nimeamua kuiuza,inafaa kwa wanafunzi wa project. Sina bei,150,000/- tu.
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Kiwanja kizuri zero distance from main road (Mivumoni-Goba road). Ukubwa sqrM 400, Bei Milioni 7 tu. Umeme na Huduma nyingine zipo. Contact 0683499369/0715350793
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Waungwana, Nauza Laptop Yenye Specs zifuatazo Operating System:- Windows 8.1 Single Language 64-bit System Manufacturer:- Hewlett - Packard System Model:- Compaq cq58 Notebook PC Processor:-...
0 Reactions
0 Replies
705 Views
habar zenu jaman nauza samsung galaxy note3 laki8 ni mpya
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Toyota ISIS mali mpya toka Japan . Bei sh million 13. Bei inapungua Pia hua ninawaagizi wateja wangu Magari yoyote wanayoyataka kwa unafuu. Na lipwa Commission sh laki 5. Wasiliana nami...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Nahitaji pickup ya kununua. Iwe double cab yenye atleast namba C. Budget iliyopo ni 17M. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Haijatumika kabisa ni mpya bei:200,000/-
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kiwanja hakijapimwa kina documents za mauziano.Eneo ni KINZUDI kata ya GOBA,Umeme upo.Maelewano yapo. Bei 7m 0769 222882
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari kwenu wote....natafuta washauri wa biashara waliobobea areas zote za biashara...nataka kufanya consultation kwenye human resource mng, marketting, finance, and procurement. Nahitaji kampuni...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
nauza slim ps 2 ambayo inatumia both flash na cd ina mwezi tu kwa laki na nusu nipo dar nicheki 0688206680
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Nauza simu hyo(viwa X7) ina mwezi tu tangu niinunue dukani ram 1gb,internal mmry 4gb,camera 8mp nk nipo dar nicheki 0688206680 picha kidogo imeniwia vigumu kuziweka bt simu ipo poa as new price 170k
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau anayejua watu reliable wanaouza na kuprint mabox, nahitaji box 700 fasta sana. please. 0714 06 06 87
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tunauza MBAO aina mbalimbali kwa bei ya jumla kutegemea na idadi unayotaka,mbao zote zinatokea Mafinga-Iringa. Mfano 2 by 6@ 1335 kwa futi 2 by 4@ 840 kwa futi 1 by 10@15,000 kwa ubao wa...
1 Reactions
17 Replies
14K Views
Bado mpya Bei Tsh 70,000/- 0713-736 426 ama ni PM kwa maelezo zaidi
0 Reactions
1 Replies
924 Views
With the consideration of the above caption. The piece has the following features: Internal storage: 16 GB Operating system: iOS 8 Front & Back cameras: Yes The piece has been used for only 3...
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Ipo barabara ya Pugu karibu kabisa na Bakharesa co ltd, pale makutano ya Tazara , eneo lina ukubwa wa sqm 200, kuna godown na nyumba ya gorofa tayari vipo, picha zitafuata , eneo limepimwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Linahitajika eneo ambalo limejengwa madarasa yasiyopungua manne na chumba kingine kwa ajili ya ofisi tunahitaji kwa ajili ya kupanga eneo hill kwa matumizi ya kutoa mafunzo,eneo liwe dar,mazingira...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom