Kiwanja mita 22x20 =440 sqrm kina Uzwa Kinzudi

Kiwanja mita 22x20 =440 sqrm kina Uzwa Kinzudi

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
Kiwanja hakijapimwa kina documents za mauziano.Eneo ni KINZUDI kata ya GOBA,Umeme upo.Maelewano yapo.

Bei 7m

0769 222882
 
Kinzudi kubwa fafanua kiko wapi, kiko mwisho wa vidaladala vyenu vile ?????????? au karibu na njia ya kwenda Goba mitaa ile karibu na sec.school???????? au mitaa ya kiwanda cha Tatedo ??????? ama karibu na Madale????????? tatizo kubwa mitaa hiyo maji
 
Kiko karibu na mwisho wa daladala au wanasema Kinzudi Usukumani
 
Hiki Kiwanja kimeuzwa Ni Muda Mrefu sana Kipo hapa kwenye Jamvi la Matangazo.

Kuna tatizo gani hadi hii Leo!?
 
Muuzaji ni moja vilikuwa vinakatwa vipande
 
Back
Top Bottom