Habari kwenu wote....natafuta washauri wa biashara waliobobea areas zote za biashara...nataka kufanya consultation kwenye human resource mng, marketting, finance, and procurement. Nahitaji kampuni yenye uzoefu wa kutosha....iwe na staff wanaoweza kukizi mahitaji tajwa hapo juu. Ni pm kwa 0654 000253 au csmsola@gmail.com