Wadau nyumba inauzwa haraka, muuzaji ana anadaiwa na bank muda aliopewa umeisha. Nyumba iko ndani ya kiwanja chenye hati ya makazi.
Bei ni 131,000,000m meza ya mazungumzo iko wazi, baada ya...
Wadau hii mzigo iko boxed kabisa matatzo tu ya dunia imelazimika kuuzwa. Ni original and not clone bei ni laki 8 maongez yapo. ATTACH]230479[/ATTACH]
Karibuni. 0713 80 67 66/ 0764 50 30 76.
Nina Iphone 6 ambayo nimesahau password yake hivyo siwezi kuifungua, ni fundi yupi kwa Dar anayeweza kui flash ?? Nikipata mawasiliano yake ntapenda zaidi...Aksante
Wapendwa hope mko njema.
Nahitaji ultra sound machine kwa matumizi ya zahanati yangu.
Iwe used ama mpya ila iwe ya bei nafuu,Offer yangu ni 4M.
Asanteni in advance.
Habari,
I'm selling 6 units at very good prices, inbox to get full details and negotiate prices further..
All units have no registration numbers yet, prices include registration and plate number...
Wadau gari zinauzwa na ukiniunganisha na mteja akanunua natoa 150k kwa gari au kama tutauza bei juu ya nlipanga mie tofauti ni ya kwako.
Nitumie PM kupata full details za magari.
2004 Toyota...
simu kali aina ya lenovo vibex inauzwa kwa bei nzuri ya 450,000 na unapata na kava la simu
Kwa mawasiliano: 0715223767
specifications za simu hii ni kama ifuatavyo:
1. Operating system yake ni...
Dream Car, Dream House in 3 years
Watu wengi wanapokuwa shule au vyou na mara waanzapo ajira au biashara uwa wanakuwa na ndoto kubwa, zaweza kuwa kubwa za hata kumiliki ndege yake binafsi ama...
A newly constructed godown of sqm 3240 is availale to let in Vingunguti dar es Salaam near the port. the rent is USD 5.50 per sqm.
For more information on the godown and to view other property...
Samsung galaxy s3 Simu ipo ktk hali nzuri model ni GT-19300 bei ni 270,000/= haipungui hata mia aliyekuwa na uhitaji ani pm ahsanteni nipo Dar es salaam