Kiwanja sqm 902 kinauzwa bei karibu na bure

Kiwanja sqm 902 kinauzwa bei karibu na bure

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
Kipo Kigamboni cheka, kimepimwa bei ni T.sh 4,711,200 kipo kimoja 2. tambalale karibu na barabara

Piga namba 06571455
 
Hiki kitakuwa kiwanja Cha mpira maana vipimo hivi Kama t ImageUploadedByJamiiForums1425264049.687469.jpg
 
Je!? Documents zake zipo!? Umbali toka Ferry ni KM Ngapi!?

Huduma Muhimu Kama Maji na Umeme Vipo!??
km 25 kutoka feri ya magogoni , na mita 300 kutoka barabara ya lami na 2km kuyakuta maji ya bahari
 
kimenunuliwa wakuu . asanteni kwa kuchangia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom