Umuhimu wa Mayai ya Kware

Umuhimu wa Mayai ya Kware

PRIM BOY

Member
Joined
Feb 9, 2013
Posts
14
Reaction score
6
.Huongeza nguvu za kiume
.Huongeza CD4
.Hutibu vdonda vya tumbo
.Hutibu shinikizo la damu
.Huondoa Kitambi
.Kisukari
.Tumbo kujaa gesi
.Anemia
.Asma
.Usagaji wa vyakula 2mboni
.kutunza kumbukumbu
.Huongeza kinga mwilini
.Huongeza virutubisho kwa mama mjamzito na mtoto
.Hutibu ALEJI
NA MAGONJWA MENGINEYO KWA MAHITAJI YA MAYAI YA KWARE WASILIANA NASI KWA
 
Unayakaanga,unachemsha au unayanywa mabichi?
 
huo ni uongo hakuna kitu kama hicho . na hata kama yana umuhimu tajwa hapo juu si kwa haya mnayoyauza labda wale kwale original wa msituni ambao wanajitafutia chakula chao wanachopenda ila hawa mnaowafuga hadi na kuwapa vidonge vya ARV hamna kitu
 
kuna jamaa yangu ana V VU anakula kishenzi hayo mayai lakini afya mgogoro kila siku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom