Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

BEACH PLOT 2 is situated at Mjimwema, along the South Coast of Dar es Salaam, 8 km from the Kigamboni East Ferry Terminal. 100 meter from the main road. plot ipo barabarani eneo ni...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Its in a very good condition. Price 4.8 mil. Haijawahi kutoka nje ya DSM. Milango mitano. Mwaka 1999. 14800km. Only serious buyers pm for more information and photos. Nimeshindwa kuapload picha humu.
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Helo wanajamvi, Vitz inauzwa ipo hali nzuri. Bei ni 4.2m Ac ipo poa. Reg. namba B, Gari ipo kule moshi pm if u nid it and if you a serious! for further information
0 Reactions
0 Replies
860 Views
Vyumba vinapangihwa, nyumba na kiwanja vinauzwa. Kama wewe ni mtu unayehitaji vyumba vya kupanga au mnunuzi tuwasiliane. Vyumba, nyumba, kiwanja, bei zake na mahali zilipo ni kama ifuatavyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ninauza viwanja vya kwangu mwenyewe Lingato SQM 1225 (Mita 35 x Mita 35) kwa shilingi milioni 3.0. Eneo bomba halina tabu na muuzaji na dalali ni mimi mwenyewe mmiliki. Interested, call: 0714 620...
0 Reactions
22 Replies
6K Views
Wakuu mimi nahitaji kununua king'amuzi cha continental kutoka kampuni ya sahara media lakini sijui nitakipata wapi kwa hapa mwanza naomba mnielekeze kinakopatikana wakuu. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Mwenye Monitor hiyo iwe na tundu laUSB pia AVG, weka na bei yako serious.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Tractor zenye ubora aina ya Swaraj na Same yaliyopitishwa na kampuni ya kimataifa ya ubora (ISO) na kupitishwa na wizara ya kilimo yanapatikana kwa bei nafuu, watanzania tuchangamkie fursa hii kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Samahani kwa ambaye anafahamu mahala ambapo wanauza mabelo ya shuka za mtumba za ukweli grade A,Tafadhari anijulishe yawe ni mashuka mazuri na makubwa.Napatikana Morogoro ila nipo tayari...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nguruwe wa mbegu kwajili ya uzalishaji wanauzwa wapo wawili name hali zao safi , wana rangi nyeusi. kwa mawasiliano 0653634503 au 0764363056 wanapatikana dar tegeta.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kama kuna mwenye nayo nicheki 0756669331 nina laki nne cash
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau, Najua wapo watu wanaojihusisha na utengenezaji vidonge vya miti shamba(herbs) ama kuuza kwa matumizi ya kawaida kwa tiba ya magonjwa mbalimbali. Ni shughuli yangu kubwa kwa maandalizi ya...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wadau nimelikuta hili tangazo huko mitandaoni. Jamaa yuko fasta sana. Anapima eneo lako iwe kiwanja au Shamba na anakusaidia kupata hatimiliki ya eneo lako. Binafsi nimefaidika na Huduma zake...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
nauza miti ya mikongo kwa bei ya kontena ya 40f kwa mawasiliano na maelezo zaidi tuwasiliane kwa namba +255763728441
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za leo. Sasa kware wa wiki tatu wanapatikana kama unahitaji tafadhali piga number 0788-318671 bei yake ni Tshs 7,000/ kwa mmoja. Karibu.
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Komputa inauzwa iko Arusha bei ni shilingi 300,000/- specification zake window xp professional Intel (R) Pentium (R) Dual CPU E2140@1.60 GHz 448 of RAM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo kwenu wote...kuna kikundi cha vijana wa bodaboda kipo dodoma mji mdogo wa kibaigwa. Kimesajiliwa na kinatafuta bank, saccoss au microfinanace institution yeyote inayoweza kukopesha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ninauza simu tajwa kwa gharama nafuu kabisa.Simu ni nzima na haina tatizo lolote.Bei 100k lakini maelewano yapo. Tuwasiliane kwa 0763969066 ukitaka picha ama kwa maelezo zaidi
0 Reactions
0 Replies
962 Views
It is nice Yard of about 21/4 acres or 8782 square meters. Located in a quiet location fully of security. Asking price Tshs 1.4 bilion. Contact 0784225000
0 Reactions
0 Replies
887 Views
Wakuu nauza laini yangu ya uwakala wa M-pesa kwa bei ya tshs.150,000/=,maelewano yapo.Naiuza kwa maana nataka kubadilisha biashara.Niko Dar es salaam.Kwa anayehitaji nitafute 0673404808
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom