Fursa ya kukopesha kikundi cha vijana wa bodaboda

Fursa ya kukopesha kikundi cha vijana wa bodaboda

RAIATZ

Member
Joined
Jul 28, 2011
Posts
13
Reaction score
4
Habari za leo kwenu wote...kuna kikundi cha vijana wa bodaboda kipo dodoma mji mdogo wa kibaigwa. Kimesajiliwa na kinatafuta bank, saccoss au microfinanace institution yeyote inayoweza kukopesha wanachama wake bodaboda kwa ajili ya bishara. Kwa wenye utaratibu huo wanitafute kwa namba 0765433131
 
Back
Top Bottom