Toyota vits for sale

Toyota vits for sale

ms babysitter

Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
55
Reaction score
5
Its in a very good condition. Price 4.8 mil.
Haijawahi kutoka nje ya DSM.
Milango mitano. Mwaka 1999. 14800km.

Only serious buyers pm for more information and photos. Nimeshindwa kuapload picha humu.
 
Haya magari haya,hakuna picha,specifications hazijajitosheleza,n.k.....huchelewi kuuziwa gari imefanyiwa overhaul Mara tatu!
 
Haya magari haya,hakuna picha,specifications hazijajitosheleza,n.k.....huchelewi kuuziwa gari imefanyiwa overhaul Mara tatu!

Nimesema anaehitaji aje pm kwa maelezo zaidi na picha walionielewa wameshakuja pm kitambo
 
Helo wanajamvi,
Vitz inauzwa ipo hali nzuri.
Bei ni 4.2m
Ac ipo poa.
Reg. namba B,
Gari ipo kule moshi
pm if u nid it and if you a serious! makubaliano yapo.
 
Its in a very good condition. Price 4.8 mil.
Haijawahi kutoka nje ya DSM.
Milango mitano. Mwaka 1999. 14800km.

Only serious buyers pm for more information and photos. Nimeshindwa kuapload picha humu.

Namba gani boss?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom