Pata Hati Miliki ya Kiwanja na Mashamba chapchap

Pata Hati Miliki ya Kiwanja na Mashamba chapchap

NAMTUMBA

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,939
Reaction score
600
Wadau nimelikuta hili tangazo huko mitandaoni. Jamaa yuko fasta sana. Anapima eneo lako iwe kiwanja au Shamba na anakusaidia kupata hatimiliki ya eneo lako. Binafsi nimefaidika na Huduma zake nikaona kizuri kula nanduguyo. Anajituma sana katika kazi zake. Ni kijana mdogo lakini mambo yake ni makubwa na huduma zao ni mzuri. Mwenye kuhitaji kupimiwa amtafute kwa NAMBA 0714259674
 
uhalali wake haujauweka mkuu, labda amesajiliwa kama kampuni? au ni mtu tu mission town? tungepata credentials zake nadhani tungeweza kum "consult".
 
uhalali wake haujauweka mkuu, labda amesajiliwa kama kampuni? au ni mtu tu mission town? tungepata credentials zake nadhani tungeweza kum "consult".
Anapima yeye kama yeye. Hawa watu wa ardhi nazani taratibu zao sio ngumu sana kama ilivyo kwa mainjinia wengine. Huwa wanapima kupitia kwa waliosajiliwa. Ila sipo hapa kutetea mtu kama huna imaninae sio lazima umtumie yeye.
 
Wadau nimelikuta hili tangazo huko mitandaoni. Jamaa yuko fasta sana. Anapima eneo lako iwe kiwanja au Shamba na anakusaidia kupata hatimiliki ya eneo lako. Binafsi nimeaidika na Huduma zake nikaona kizuri kula nanduguyo. Anajituma sana katika kazi zake. Ni kijana mdogo lakini mambo yake ni makubwa. Mwenye kuhitaji kupimiwa amtafute kwa NAMBA 0714259674

Acha utapeli wa kitoto, wewe sema unayefanya utapeli huo ni wewe mwenyewe wajinga wapo wengi watakutafuta tu, sio mpaka uanze maelezo ya umekuta mtandaoni
 
Acha utapeli wa kitoto, wewe sema unayefanya utapeli huo ni wewe mwenyewe wajinga wapo wengi watakutafuta tu, sio mpaka uanze maelezo ya umekuta mtandaoni
Mkuu sio lazima tubishane hapa. Hizo ni hisia zako tu, kama uliwahi kutapeliwa sikatai lakini haimaanishi kwamba wataalamu wote wa ardhi ni matapeli utakuwa unazitusi taaluma za watu. Chamsingi kama jirani yako ana hatimiliki muulize aliipataje ili na wewe akusaidie kuipata. Hata ukinipinga Mimi hapa jf haikusaidii kitu, na sio lazima upimiwe na mtaalamu alienipimia mimi, wataalamu wapo wengi kuna wamanispaa na hawa wa kampuni binafsi. Watafute wakusaidie. Kuniita Mimi tapeli ni kunivunjia heshima mkuu Mimi sio mtaalamu wa mambo hayo hapa nimeandika kile nilichokiona Kupatana.com.
 
Wadau nimelikuta hili tangazo huko mitandaoni. Jamaa yuko fasta sana. Anapima eneo lako iwe kiwanja au Shamba na anakusaidia kupata hatimiliki ya eneo lako. Binafsi nimeaidika na Huduma zake nikaona kizuri kula nanduguyo. Anajituma sana katika kazi zake. Ni kijana mdogo lakini mambo yake ni makubwa. Mwenye kuhitaji kupimiwa amtafute kwa NAMBA 0714259674

We Namtumba, umeshapost taarifa kama hizi, unageuka na kuanzisha post nyingine! Nadhani wewe sio mwaminifu! I doubt your credibility!
 
We Namtumba, umeshapost taarifa kama hizi, unageuka na kuanzisha post nyingine! Nadhani wewe sio mwaminifu! I doubt your credibility!

Huo ni wasiwasi wako tu mkuu. Kipi unashindwa kuelewa. Au kipi huamini?
 
Ofisi yake ipo wapi, namba yake YA usajili wa NCPS Ni ipi? CHUKUA hatua.
 
Back
Top Bottom