Nyumba na kiwanja chake vinauzwa Kigamboni

Nyumba na kiwanja chake vinauzwa Kigamboni

Posho City

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2012
Posts
648
Reaction score
418
Nyumba yenye vyumba vinne, Jiko, Sebule mbili na Dinning ikiwa ndani ya kiwanja chenye ukubwa wa square mita 645 inauzwa. Hati zipo na haina mashaka.

Mahali ni Kigamboni eneo la MIKADI BEACH...mita 50 toka barabarani...nyumba imepakana kabisa na ofisi za NIDA Kigamboni. Ina umeme na maji.

Kwa anayetaka nitaomba tuwasiliane kwa PM ili nimpe maelezo ya ziada.

Bei ni Milioni 220.
 
Tumia simu ya mtu mwingine yenye uwezo wa ku upload. Au zipeleke ofisi za Jf wakuwekee.
 
Tumia simu ya mtu mwingine yenye uwezo wa ku upload. Au zipeleke ofisi za Jf wakuwekee.

Ufanye biashara kizamani weka picha na bei husika, nini unapepesa macho nyakati hizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom