Zipi faida za Forever living products

Zipi faida za Forever living products

Ugali Supu

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
250
Reaction score
260
Samahani wakuu. Naomba msaada wa faida ,manufaa yanayopatikani ndani ya FOREVER mm kama kijana nlikuwa nahitaji kujiunga nami niwe kama member na Muuzaj(msambazaji) wa hizo products. ili niweze pia kujiongezea kipato. Nisaidien UTARAIBU JINSI YA KUJOIN na FAIDA. m niko chuo hapa dsm. NITASHUKURU.
 
Achaba nao biashara imeanza miaka kama 6 iliyopita watu washafanya product zake haziuziki kupata wateja ni issue, kama una wateja tayari ndio jiunge lkn kama auna utaishia kumfaidiasha aliyekuingiza kwakuwa hiyo ni pyramid scheme
P.S kama mtaji wako ni pesa unayoitegemea ikipotea auna nyingine achana na hiyo biashara tafuta nyingine
 
Back
Top Bottom