Natengeneza Blog za kisasa kwa bei nafuu

Natengeneza Blog za kisasa kwa bei nafuu

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Kama kichwa kinavyojieleza, endapo unahitaji blog ya kisasa yenye mvuto na inayo load kwa urahisi basi wasiliana nasi kwa PM Bei ni 20,000/= tu na ukihitaji pamoja na domain tutakufanyia kwa 50,000/= kwani bei ya domain ni 30,000/= kwa mwaka.

Blog ni nzuri kwani husaidia katika shughuli mbalimbali hasa za Ujasiriamali kwani unaweza kuitumia kuwaonesha watu bidhaa zako na kuwapa updates mbalimbali. Pia endapo utapata watembeleaji wa kutosha unaweza kupata pesa nyingi kupitia matangazo. Mfano wa blog tulizo tengeneza ni Amewezaje, Kijiwe Cha Wasomi, Dr. Muneja Official Blog | Your Blog Description, Tanzania Social Research Bureau, Bongo Mixer,

Ahsanteni na karibuni sana.
 
Back
Top Bottom