Gari, bajeti Milioni 6, kulipa kwa installment 3

magesa77

Senior Member
Joined
May 22, 2011
Posts
123
Reaction score
15
Inahitajika gari yeyote ndogo iliyo katika nzuri na isiyodaiwa vibali kwa bajeti isiyozidi million 6, lkn malipo kwa installment 3 baada ya kuandikishana kisheria. Gari iwe ndani ya Dar es Salaam
 
Mkuu kuwa specific kidogo,gari yeyote saloon,suv,truck or?
 
Nenda benk kakope uwe unarejesha kwa awamu!
Siyo tu huko ndiyo mahali pekee unakoweza kurejesha kwa awamu, lakini pia ndiyo sehemu unakoweza kulipa na riba, kutokana na kulipa huko kwa awamu.
 
Inahitajika gari yeyote ndogo iliyo katika nzuri na isiyodaiwa vibali kwa bajeti isiyozidi million 6, lkn malipo kwa installment 3 baada ya kuandikishana kisheria. Gari iwe ndani ya Dar es Salaam
Kama wataka gari ndogo tu ya kutembelea,mbona ni rahisi tuu................

Nunua vocha ya yatosha, na baada tu ya kuikwangua tu, utaIstukia Toyota IST ipo mlangoni pako!
 
Sio lazima ucomment kama tangazo halikuhusu wala halikugusi....kumbuka kuna wenye magari mengi na mengine yanaoza kwa kutotembea muda mrefu na anaweza kuwa yupo tayari kupokea Millioni 2 kila mwezi.
 
Back
Top Bottom