Toyota vits for sale in Dar es salaam

Toyota vits for sale in Dar es salaam

kind lady

Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
42
Reaction score
5
4.3 mil bei haipungui kwa sababu gari ina hali nzuri sana. Haijawahi kutoka nje ya dar safari zake ni hapahapa mjini tangu inunuliwe. Kwa MAELEZO zaidi na PICHA pm namba yako nakufata watsapp.
 
mazee mbona taarifa haijitoshelezi, ni mara yako ya kwanza kufanya biashara nini?
 
4.3 mil bei haipungui kwa sababu gari ina hali nzuri sana. Haijawahi kutoka nje ya dar safari zake ni hapahapa mjini tangu inunuliwe. Kwa MAELEZO zaidi na PICHA pm namba yako nakufata watsapp.

Mkuu ni vyema ungeweka picha moja kwa moja na specs za GARI hapa pamoja na contacts kuliko MTU aku PM number yake wengine hawapendi kujulikana hapa.
 
Kuhusu picha nimeshindwa kuupload humu Jf. Japo nafanya biashara pia sipendi kuuza namba yangu hapa jukwaani ni bora mtu akiwa interested aje pm kwa taarifa zote
 
Weka picha na specs, ongeza namba ya simu. Jifunze kwa wenzako hapa jf wanafanyaje.!
 
jitahidi uweke picha hapa au kama vipi katupie kule facebook/cardealztz
 
4.3 mil bei haipungui kwa sababu gari ina hali nzuri sana. Haijawahi kutoka nje ya dar safari zake ni hapahapa mjini tangu inunuliwe. Kwa MAELEZO zaidi na PICHA pm namba yako nakufata watsapp.

Mkuu we unauza wakati wenzako Airtel wanagawa bureeee
 
Labda ni ya 500000 tu

Walio serious walishanunua gari kwa hiyo hiyo bei ya 4m we endelea na dharau zako sisi wenzako tunaendelea kufanya biashara.

Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji
 
Hakuna atae nunua gari kwa stail hiyo unayotaka wewe.

Kwa style gani MATAKATAKA? Mbona gari ishanunuliwa kitambo sana kupitia hilihili tangazo? Ulitaka nitumie style gani? Hahaaaa jf is full of funny people na wajuaji nao ni wengi sana one of them is MATAKATAKA.

mrangi njoo umuone huyu anasema hakuna atae chukua gari while the car is yet sold. Thanks to mrangi
 
Last edited by a moderator:

Asante kwa kuuza GARI.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom