Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Friji, sofa ya watu wawili vinauzwa. Maeneo ya tabata Bei ni nafuu sana, na .imaelewano. friji imetumia miezi 8. sofa ya viti viwili miezi 6. Pia nyumba inauzwa ipo tabata relini. Ina vyumba...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari zenu jamvini!! Shamba linalokadiriwa kuwa na heka 20 lipo maeneo ya Kimanzichana wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Shamba limepandwa nanasi na mipapai, lakini pia lina michungwa. Kumejengwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
in urgent need mwenye kuuza simu hizo .. zilizo katika hali nzuri kimuonekano bila kuwa na ubovu . tafadhali tufanye biashara.. price iwe fair kidogo jameni
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Husika na kichwa cha habar hapo juu. Kuna nafasi za kazi katka grocery mpya maeneo ya sinza. malipo mazuri na ni makubaliano. Kizuri zaid kuna chumba cha kupanga ready kwa wahudumu. Tafadhal...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
iwe na gud condition isiwe na tatizo lolote ofa yangu 150000 nicheki 0688206680 nipo dar
0 Reactions
2 Replies
876 Views
Gallxy note2 original inauzwa,kwa bei ya kuelewana...ina wiki moja tangu itolewe dukan ipo katk hali nzur sana...kama unaitaka ni pm au chek mi 0714250626/0757470207
0 Reactions
1 Replies
776 Views
Nauza bata mzinga wakubwa wanakaribia kutaga na ni tayari kwa nyama wako 8 waliobaki jike 6 na dume wawili kwa Tshs 175000 kwa mmoja. Ahsante
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Tafadhali naomba mnisaidie kujua bank ambayo inatoa mikopo ya masharti nafuu, maana baadhi ya benki zinatoza riba kubwa vilevile repayment period inakuwa fupi sana.
0 Reactions
30 Replies
19K Views
Natafuta shughuli za kufanya kwa trekta baada ya msimu wa kulima
0 Reactions
1 Replies
1K Views
viatu vya kimasai bei ya jumla ni shilingi ngapi na vinapatikana wapi?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Nchi 32 brand sumsung l.e.d,bajeti yangu tsh 450000
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta aparment maeneo ya Mikocheni. Two bedrooms prefered bei 1m maximum.
0 Reactions
0 Replies
732 Views
Wadau napata wapi Kanzu nzuri kwa hapa Dar hasa Wilaya ya Kinondoni..
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Wanajamii kwa wale wanaohitaji hii huduma wafuate uzi huu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imetumika miezi 6 tu hapa nchini. ina sifa zifuatazo mitsubish double cap, pik up. manuel transmition, full air condition , new tires , engine size 2.5 cc dieasel , model 4D56 of 2002 bei 18.5m...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza mafuta ya Nazi 0658318938 asili kabisa natengeneza mwenyewe karibuni mls 100 kwa sh 5000 / mls 70 kwa sh 3000 kuanzia chupa 3 nakuletea ulipo dsm
1 Reactions
0 Replies
5K Views
Used trekta toka Denmark linauzwa. Lipo kwenye hali nzuri hali nzuri halijafanya kazi hapa kwetu Tanzania. Kwa anayelihitaji aniwhatsapp kwa 0787519910 nimtumie picha.... Shukurani wadau!!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dear colleague, We now have SILVER and GOLD generation; the old rule is changing and giving space to the new rule and principle. The big pool of SILVER and GOLD generation creates their new...
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Habari wana JF, Tunakodisha gari aina ya Toyota Coaster yenye vitu vifuatavyo; - Inabeba watu 28 - Air Conditioner(AC) - Video - Comfortable seat. Gari inaweza kukodiwa kwa matumizi...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Yeyote anayehitaji ardhi ya Kupanda miti ya mbao au mashamba yenye miti ya mbao, yaliyopo mkoani njombe awasiliane nasi kupitia namba hizi 0785879515, 0657657765, 0758355218, 0714565878
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…