viatu vya kimasai bei ya jumla ni shilingi ngapi na vinapatikana wapi?
8000 vya kike 9000 kiume bei ya jumla tandika viwanda vya wajasiliamali wadogo
rejareja 12000 -15000 kutegemeana na eneo
sitaki ugomvi na mtu!
vipi kuhusu vile vinavyotoka kenya?