Habari wapendwa!
Naombeni mnifahamishe kwa apa Dar ni duka gani / wapi naweza pata Generator ndogo original. Na ni model gani inayofaa (mfano: HONDA, YAMAHA, n.k)? ambayo ni fuel economy. Iwe na...
We do provide Best and affordable Installations and maintenance of;
· CCTV Surveillance
· Electrical Fence
· GSM/Interactive alarms Systems
· System Tracking
·...
HUASHA 150cc
Black In Color
Namba C
Bei 800,000/=
0712 318 315
Mbagala DSM
Picha najaribu ku_attach zinahepa so najaribu tena na tena na tena.
.....UPDATES.......
A motorcycle...
Someone would like to rent a shop about 50sqm at Msimbazi Street Kariakoo. If you have available shop please email me the details or if your phone have WhatsApp, please add me at this number +255...
Wakuu bajeti yangu ndo hiyo nahitaji smartphone nzuri yenye kukaa na chaji yenye urefu wa kioo kuanzia inchi 4.5 na ram 1gb, lakini isiwe kampuni ya Tecno, na Huawei, kama serious seller...
Samsung Powerbank for quick sale in Dar, free delivery.
Specs: Capacity=5600mAh / Input=DC5V, 1.0A / Output=USB5V:1A
See attached photos / give your number for pics via WhatsApp. Used for 2...
Je una Gari safi ambayo sio kimeo , (Engine safi, Body safi exterior and interior... sio magumashi kwa maana ya Kua haina kesi vibali vyote viko poa) bajet 5.5m kama gari iko bomba zaid ninaweza...
Nyumba inauzwa maeneo ya Boko. Ni nyumba ya kisasa kabisa yenye eneo kubwa la kupaki hata gari 5, ina fensi nzuri kabisa kama inavyoonekana kwa picha hapo chini. Tuwasiliane kwa namba hii kwa...
Toyota NADIA
Engine type 3S
Engine Capacity 1998
Registration T.......ASQ
Year of Manufacture 2003
Colour Red
Body STATION WAGON
Price 3.5 M
Runing Condition
Road Licence Expired
Location DSM...
Iwe kuanzia maeneo ya Mivinjeni hadi ufundi.
Kiwe kimoja au viwili ila kinachojitegemea yani sio choo cha kuchangia.
Kodi isizidi 100,000 kwa mwezi.
kama kipo tuwasiliane.
Usinipm kama hakina...
Wakuu naomba msaada,
Nahitaji kununua Flat TV 42inch. Sasa nimekuta kuna Samsung LED na Samsung Plasma. Sijui nichukue ipi, Maana sijajua tofauti zake ni zipi.
Please nisaidieni..