hiyo bei ni cheap sana. Lazima hiyo gari itakua kimeo
hiyo bei ni cheap sana. Lazima hiyo gari itakua kimeo
Toyota NADIA
Engine type 3S
Engine Capacity 1998
Registration T.......ASQ
Year of Manufacture 2003
Colour Red
Body STATION WAGON
Price 3.5 M
Runing Condition
Road Licence Expired
Location DSM
Phone 0774819712
hiyo bei ni cheap sana. Lazima hiyo gari itakua kimeo
Mkiuziwa hela nyingi mtalalamika pia!
hiyo bei ni cheap sana. Lazima hiyo gari itakua kimeo
Always rahisi ni ghali. Kama sio fundi usihangaike kununua magari mabovu vinginevyo utapata presha kabla ya siku zako.basi panga bei wewe,kama huna hela kaa kimya,,wenzio wananunua magari hadi laki 9
Afadhali umewaambia ukweliNadia ni janga jamani tuambiane tu ukweli ila ikipata mtunzaji haina shida kivile
Always rahisi ni ghali. Kama sio fundi usihangaike kununua magari mabovu vinginevyo utapata presha kabla ya siku zako.
Afadhali umewaambia ukweli
Hilo la laki 9 ni kama lipi kati ya haya?basi panga bei wewe,kama huna hela kaa kimya,,wenzio wananunua magari hadi laki 9
Picha Pleaaaaaaaaase!
Nadia ni vimeo balaaah!!!!
Samahani kama naharibu biashara ila natumia uhuru wa jukwaa...
Hasa uipate ya engine D-4 unaweza ukaimba haleluya mahakamani