Wazo Langu
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 1,381
- 842
Iwe kuanzia maeneo ya Mivinjeni hadi ufundi.
Kiwe kimoja au viwili ila kinachojitegemea yani sio choo cha kuchangia.
Kodi isizidi 100,000 kwa mwezi.
kama kipo tuwasiliane.
Usinipm kama hakina sifa mojawapo kati ya hizo.
Kiwe kimoja au viwili ila kinachojitegemea yani sio choo cha kuchangia.
Kodi isizidi 100,000 kwa mwezi.
kama kipo tuwasiliane.
Usinipm kama hakina sifa mojawapo kati ya hizo.