Nyumba inapangishwa Kibamba

Nyumba inapangishwa Kibamba

Fagio2

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
242
Reaction score
59
Nyumba yenye vyumba viwili na sitting room inapangishwa. Ipo Kibamba mwisho. Piga 0717763081
 
Kwakuwa haina umeme ni Tshs. 60,000 ukihitaji kuwekewa solar bei itaongezeka. Ni Nyumba mpya inajitegemea, ni mazuri.
 
Siwezi kukadiria vizuri lakini ni Kama kilomita 4 hivi, ukiwa pale kituoni yanapogeuzia madaladala uliza kwa Mdigo watakuelekeza, nyuma ya Sekondari. Au piga hiyo namba hata kesho
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom