mickyMICKIZ
Member
- Aug 19, 2013
- 39
- 3
Nyumba inauzwa maeneo ya Boko. Ni nyumba ya kisasa kabisa yenye eneo kubwa la kupaki hata gari 5, ina fensi nzuri kabisa kama inavyoonekana kwa picha hapo chini. Tuwasiliane kwa namba hii kwa maelekezo Zaidi 0654715457.