Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za maandalizi ya pasaka, nauza simu sumsung galax tab 2, gb 16. Iko vizuri naiuza kuna jambo natakiwa nilitatue. Bei 400000.
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Wadau nahitaji nyumba ya kupanga ya vyumba vi 3 maeneo ya kijitonyama,sinza,mwenge au makumbusho.kama unayo weka namba yako nitakupigia.
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Nahitaji power bank kuanzia 16000 mah na kuendelea. Kwa sasa nipo Dar lkn kuanzia kesho jion narudi home Mbeya no 0752 842099
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Pikipiki iliyotumika inahitajika haraka. Vigezo vifuatavyo vizingatiwe:- 1: Iwe imetumika si zaidi ya mwaka mmoja. 2: Isiwe ya wizi.Iwe ni mali halali ya mtu. 3: Iwe na nyaraka zote...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nahitaji chumba cha kupanga Jijini Dar es salaam, kwa miezi mitatu tu, maana baada ya kipindi hicho nahamia mkoa mwingine. Aliye na chumba please tuwasiliane au ani-pm. Anieleze kiko sehemu gani...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Bei hiyo ni kwa magari mangapi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauza hp intel core i5, hdd 1tb, ram 6gb bei laki 8.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Amani kwenu wana Jamii forum. Natafuta printer nzuri inayoweza kuprint karatasi za A3 na ya bei nafuu na wino uwe wa nje. Mwenye kufahamu mahali naweza kupata tafadhali. Nipo Arusha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
natafuta lumia 1520 au 1020 so kama unauza na una nia ya kwel tuwasiliane 0764513354 nipo dsm
0 Reactions
2 Replies
984 Views
CAR FOR SALE FOR TSHS.11.5 MILLION SUBARU IMPREZA MODEL JF1GDAKD. YEAR OF MANUFACTURE 2002 INGINE CAPACITY 1994, FUEL USED PETROL. Number of AXLES 2 CALL/TEXT 0784710555. LOCATION DAR ES...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ina VGA input, HDMI input and AV input. Bei 350000/= Contact 0655883442
0 Reactions
3 Replies
1K Views
INVENTORY MANAGEMENT SYSTEM is a desktop software which can be used to control inventory of your business; Manage your transactions easily, Sales Report, Stock Management, Client and supplier...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
rejea kichwa linahitajika body chasis engine viti kwa ajili ya ku unga unga lipatikane basi la kupita njia mbovu shukurani ushauri unakaribishwa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
A brand new Android Tablet goes kwa 200000 tuu jaman kama interested call hapa 0786371108 au what's app me hapa 0762908355... Twende sawa jaman .....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jipatie smart phone Tecno H6 kwa wale wanaozijua kwa bei ya shilingi 165000/= tu ni brand new na zipo piece 4. Nipo Dar kwa watakaohitaji.
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Nahitaji Toyota Starlet milango mitano,iwe katika hali nzuri,bajeti yangu milioni nne (4mln) Mwenye nayo anicheki WhatsApp kwanamba 0757888666 nipo Dar-es-salaam.
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Jiunge leo na biashara ya mtandao wa Zantel kwa kushirikiana na Rifaroafrica, ambapo kwa mtaji wa 76,500/= unaweza kupata zaidi ya Milion moja kwa mwezi na ofa nyingine nyingi. Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nauza dell laptop imevunjika screen but haina matatizo mengine inafaa especially kwa mafundi ni pm tufanye biashara
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Gari mbili zinauzwa zipo dar ni raum Na passo Kwa maelezo zaidi na picha piga 0715607800 simu yangu inasumbua kuattach picha aaaAAAAaa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Just imported, unregistered Year of make: 2004 Mileage: 65,000km Engine: 1NZ 1490cc VVTi Price: 9m
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…