Imevunjika kioo & then inafaa,sasa inafaa kufanya nini..!!!!
ni kweli inafaa kutupwa
Nauza dell laptop imevunjika screen but haina matatizo mengine inafaa especially kwa mafundi ni pm tufanye biashara
Mkuu ni Dell model gani? Unaweza ku-upload picha halisi?
Hii apa image halisi
Specifications zake zikoje?
Inawaka fresh?
Mkuu ni Dell model gani? Unaweza ku-upload picha halisi?
Picha halisi na specifications
hard disk gb ngapi? na vp betri yake inakaa muda gani?
Hii kaitupe tu jalalani au uwape madogo wachezee. Kwa hiyo bei huwezi pata mteja