Gari mbili for sale

Gari mbili for sale

Mkinyigwite

Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
61
Reaction score
3
Gari mbili zinauzwa zipo dar ni raum Na passo Kwa maelezo zaidi na picha piga 0715607800 simu yangu inasumbua kuattach picha
aaaAAAAaa
 
Gari mbili zinauzwa zipo dar ni raum Na passo Kwa maelezo zaidi na picha piga 0715607800 simu yangu inasumbua kuattach picha
aaaAAAAaa

Picha simu imesumbua sawa, hata bei na specs za hizo gari pia simu imesumbua? Hebu tupia specs na bei mkuu
 
Picha simu imesumbua sawa, hata bei na specs za hizo gari pia simu imesumbua? Hebu tupia specs na bei mkuu

Hapana mkuu hiyo passo n ya mwaka 2005 cc 990 na hiyo raum n raum new model cc 1450 new toka japan na bei zake ni passo ni million 7 maongezi yapo na raum new model n 12 million maongezi yapo ila kiduch
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom