nyie ndo mnatumalizia ndugu zetu na mabasi mabovu??
pale namuogopa kiwembenenda ubungo kituo kikuu cha mabasi ukifika nenda pale kwenye banda wanapopumzika abilia zunguka nyuma ya hilo jengo tembea upande wako wa kushoto kwa mbele utaona unachotaka, waulize utakao wakuta na nunua hitaji lako.
pale namuogopa kiwembe
tulishadhulumiana
enzi tunakunywa nyagi
na marehebu ben(r.i.p) wa dar xpres