Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kwa anayetaka ni pm nipo dsm bei 160k
0 Reactions
2 Replies
904 Views
haya haya wana jamvi,gari tajwa apo juu iko sokoni kwa milion nne(4m)aliye muhitaji tukutane pm.
0 Reactions
0 Replies
909 Views
LG G pro used for two monthes has a single crank but every thing works perfectly specifications:internal memory 22GB camera 13megapixel android yake ni kit...
0 Reactions
1 Replies
821 Views
Baileys 750ML sealed pamoja na Johnnie Walker 750ML sealed zote zinaenda kwa 60,000 ukinunua moja moja ni 33,000 kila moja wahi jaman ziko izi mbili tuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kipo keko ya magurumbashi kina ukubwa wa 500sqm pia kina leseni ya makazi. Bei 6.2mil tzs maelewano yapo. NB: Gari haifiki mpaka kiwanjani. Pm for more details and photos.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu, Natafuta mtu anayeweza kuchukua co-ordinates za kiwanya changu ili kuweza kupata ramani ya mipango miji. Lengo ni kujua mipaka ya barabara ili kuepuka usumbufu wa bomoa bomoa miaka ijayo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Kuna dili ya nyumba chap kama we ni dalali na uko makin na kazi yako tiuwasiliane hapa..0654715457 kiufupi nyumba ipo boko ina eneo la kupaki hadi gari 5..tuwasiliane fasta!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mt 18 kwa Mt 20 nyumba self 3 bedroom usawa wa lenta materials mchanga kokoto na tofali miti gravilia 20 migomba kiko njiro karibu na world vision bei m 28.5 Wahi sasa kwa walioserious piga...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Je, wewe unatafuta vifaa vya hospitalini vipya au ambavyo vimetumika? 0Unaweza ukapata suluhisho la tatizo lako. Segoma traders ni kampuni mpya inayoweza kutatua kwa kukutafutia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ni vipi wakuu. Kwa wale wapenda cheni, mikufu, vidani, nk., nauza cheni za silver zenye vidani (sifahamu kama litakuwa jina lake sahihi), vitakavyoweza kuwa 'customized' na information zako kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Camera nikon D40 ipo katika hali nzuri sana pamoja na memory card .Bei ni Tsh 600,000.00piga simu 0712652110 Dar
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Kwa wale wote wanaohitaji biashara za kimtandao kama vile blog, website, forums, mobile app and zingine nyingi, Mabingwa tupo. Pia tunauza blogs zenye matangazo kabisa kwa anayehitaji, kazi yako...
0 Reactions
0 Replies
901 Views
Tuna viti vya maskuli. Viti vimeshatumika lakinini vipo katika hali nzuri. Viti vipo njiani kupakiwa kutoka Toronto kuelekea Zanzibar. Kwa atakayetaka tuna viti 400. Tuwasiliane kwa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari Wadau, Nahitaji Kiwanja cha eka 1 maeneo ya Kisarawe,Kibada,Toangoma kisicho pimwa kiwe na bara bara ya gari hadi kwenye kiwanja,Sihitaji dalali nataka kufanya biashara na Mwenye kiwanja...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Gari aina ya subaru inauzwa used CC 1990 imetembea kilomita 94,000 six cylinder na ni turbo bei n million 11....... Picha simu inazngua ku apload!!! Ila kwa maelezo zaidi nicheki kwa namba hii...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
kama kuna mtu mwenye noah au hiace naomba tuwasiliane 0713644485
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cc 1998, year 2002, ina namba C kwa Millioni 10
0 Reactions
18 Replies
3K Views
A nice plot of land at Lake Manyara National Park, Tanzania, is offered for sale: Size: 21 acres (8.6 Ha) Clean title deed for 99 years. Bordering the animal corridor, which allows wild animals...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jaman kwa ambae mwenye king'amuzi cha digitek na anauza namba aniuzie. Nipo dsm, na pia kwa anae hitaji dstv nina complete set nauza pia.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…