Samsung note 2

Samsung note 2

Lazarus

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
364
Reaction score
93
Samsung note 2 inauzwa 430,000 imetumika miezi 3 rangi grey
 
Attachments

  • 1424772809875.jpg
    1424772809875.jpg
    45.4 KB · Views: 509
  • 1424772838941.jpg
    1424772838941.jpg
    61.5 KB · Views: 453
  • 1424772867960.jpg
    1424772867960.jpg
    65.8 KB · Views: 422
Poa mkuu ukiuza yako nami nauza yangu mpya 450,000 samsung note 2 nipo dar es salaam Temeke 0712690760
 
jaman galaxy 3 napata kwa mia ngap? nahitaj kununua
 
Na yangu Note 3 Nauza 800,000; Iko ndani ya Warrant .
 
Laki nane nauza yangu imetumika miezi minne ina warrant ya Mwaka el nino
 
Last edited by a moderator:
Vitu fake vitatuua Tz.....serikali imelala,imebariki,cancer ndio habari sasa....

Toka lini simu ya zaidi ya 1M,iuzwe laki 4!!

Watanzania tusipende cheap...itatu-cost.
(Nakaribisha mashambulizi + matusi,maana ukweli mbaya haupendwi)
 
Hahahahaaaa.....

Mchina @ work...
 
Vitu fake vitatuua Tz.....serikali imelala,imebariki,cancer ndio habari sasa....

Toka lini simu ya zaidi ya 1M,iuzwe laki 4!!

Watanzania tusipende cheap...itatu-cost.
(Nakaribisha mashambulizi + matusi,maana ukweli mbaya haupendwi)

mi nakuunga mkono!
 
Note 2 inauzwa zaid ya 1M??? Note 2 ya wap hyo mkuu???Kweli ww hujui simu unawaza kutapeliwa tu
 
Back
Top Bottom