Boxer Bm 150 ninaiuza Magomeni Mapipa

Boxer Bm 150 ninaiuza Magomeni Mapipa

moneymakerman

Senior Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
102
Reaction score
247
Habari za leo wana Jamii,
Nimepunguza bei ya kuuza, naona hali ni ngumu kwetu wetu watanzania.
Iko tayari kufanyia biashara au matumizi ya kawaida. kwa yule aliyekuwa tayari.
Bei mpya mil 1.1




Niko na boxer bm 150 ambayo ninauza kwa 1.1 million, inatembea na kukimbia, na shida za kiuchumi ndio sababu kubwa ya kuuza pikipiki. Ina makaratasi yote. number 0655798139.

Nashukuru kuwepo kwa jukwa hili ili lituokoe kiuchumi na fikra.


2011-01-01 09.11.09.jpg 2011-01-01 09.11.35.jpg
 
imetunika muda gani, bei mwisho ngapi? ina number mpya au za zamani??? ulikuwa unaitumia kwa matumizi gani??
 
Mpya inauzwa bei gan? na ni namba gn?
 
imetumika mwaka, matumizi binafsi ilikuwa kibaha, bei mwisho 1.3 million.
 
chainbox nilitoa kwa ajili size ya tairi ni nene, hiyo iko nimeweka pembeni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom